CIFOR–ICRAF publishes over 750 publications every year on agroforestry, forests and climate change, landscape restoration, rights, forest policy and much more – in multiple languages.

CIFOR–ICRAF addresses local challenges and opportunities while providing solutions to global problems for forests, landscapes, people and the planet.

We deliver actionable evidence and solutions to transform how land is used and how food is produced: conserving and restoring ecosystems, responding to the global climate, malnutrition, biodiversity and desertification crises. In short, improving people’s lives.

Nasari za miche: mwongozo wa wenye nasari kwenye vitongoji vya miji

Export citation

Idadi ya watu kwenye miji na viunga vyake katika nchi zinzoendeleainaongezeka kasi na yakisiwa kwamba kufika mwaka 2015, idadi yawatu mijini itakuwa sawa na ya wakazi wa mashambani. Yabashiriwaongezeko hilo bila shaka litasababisha uhaba wa chakula na malisho yamifugo. Teknolojia za kukuza miti pamoja na chakula inaweza kuchangiakatika kuongeza kiasi cha chakula na pia malisho. Kadhalika,zitapunguza madhara ambayo huhusishwa na kilimo na vijishambavidogo, hasa katika maeneo ya mitaa ya miji.Uandalizi wa mwongozo huu wa kutumiwa nyanjani ulipendekezwakufuatia kuchapishwa kwa Tree nursery trade in urban and peri-urban areas(RELMA Workinng Paper No 13). Hati hii ilishirikisha matokeo ya uchunguziwa nasari 39 katika Wilaya za Kiambu na Nairobi, Kenya.Madhumuni ya mwongozo huu ni kutoa maelezo ya kimsingi ambayoyanahitajika kwa usimamizi kamili wa nasari za miche katika miji naviungani vyake. Yeyote anayeusoma ataelewa haraka na pia kujifunzamambo anayohitaji kufanya ili kuanzisha nasari. limekuwa ni lengo laRELMA kutoa miongozo ya nyanjani kwa lugha za kiasili inayowezakusomeka kwa urahisi na jamii zinazolengwa. Mwongozo huu unatoamojawapo ya nafasi hizo.
    Publication year

    2003

    Authors

    Basweti C

    Language

    Kiswahili

    Keywords

    agroforestry systems, developing countries, land management, nursery raising, pest control

    Geographic

    Kenya

Related publications