CIFOR–ICRAF publishes over 750 publications every year on agroforestry, forests and climate change, landscape restoration, rights, forest policy and much more – in multiple languages.

CIFOR–ICRAF addresses local challenges and opportunities while providing solutions to global problems for forests, landscapes, people and the planet.

We deliver actionable evidence and solutions to transform how land is used and how food is produced: conserving and restoring ecosystems, responding to the global climate, malnutrition, biodiversity and desertification crises. In short, improving people’s lives.

Mwelekeo Mpya: Kuendesha Mazungumzo ya Kijamii juu ya Jinsia na Urejeshaji Ardhi

Export citation

Mipango ya urejeshaji ardhi inaweza kuwa na athari tofauti kwa wanaume na wanawake kutokana na tofauti katika majukumu yao, wajibu, na upatikanaji wa rasilimali. Kupuuza jinsia katika kubuni na kutekeleza shughuli za urejeshaji kunaweza kuzidisha tofauti zilizopo za kijinsia na kudhoofisha mafanikio ya juhudi za urejeshaji.Majadiliano ya Jamii ni chombo cha nguvu cha kuwezesha majadiliano ya wazi na yenye kuhusu mitazamo ya kijinsia, majukumu, vikwazo na fursa na jinsi zinavyoathiri maisha ya watu na uwezo wa kujihusisha na kufaidika kutokana na urejeshaji wa ardhi.

Related publications